Advertisements

Friday, July 27, 2012

PICHA NA MATUKIO YA THE WIT ROOFTOP CHICAGO LAST NIGHT.

DJ Denis kutoka Twin Cities yupo tayari kuwa simamisha non stop na mixer zake za hajabu zinazo patika   katika website yake maharufu ya Funk House patakuwa apatoshi leo ndani ya Bang Cruise party hii itakayo fanyika hapa Chicago ndani ya lake Michigani.
 Warembo kutoka Michigan wakipata ukodak wa vijimambo usiku huo hapo the wit rooftop, watu kutoka kila pande za Marekani walikutana kabla ya siku yenyewe ya Bang Cruise inayo fanyika usiku wa friday. Pata picha na matukio ya watu mbali mbali walio kuwepo usiku huo katika kiota hicho cha maraha cha the wit rooftop hapa down town Chicago. Picha na matukio mambo yote yatakayo jili weeknd hii hapa Chicago yana letwa live na blog hii ya VIJIMAMBO, Ny Ebra.
 hapa ni Joan kulia kutoka Boston  Ma na rafiki yake wakipata ukodak wa vijimambo live kutoka katika kiota hicho cha the wit rooftop usiku huo.
 Stanboi  the African Child  kulia kutoka Wichita ambae ataindamburisha single yake inayotamba kwasasa katika radio station za Kansas na Wichita, akiwa na rafikia yake Aman wakipata ukodak wa vijimambo.








1 comment:

Anonymous said...

Huyo dada alievaa tshirt ya white naisi ni Chadema Peace sign yake imekaa kichadema. Chadema inaongoza kwa mashabiki ccm watake wasitake.