Advertisements

Friday, July 27, 2012

UENDESHAJI WA KIHOLELA DAR


Boda boda watawala barabara mjini
Magari, pikipiki na mikokoteni kila dereva anawahi na haraka zake, taratibu za kuendesha vyombo hazizingatiwi kabisa hapa Dar es Salaam

No comments: