ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, July 24, 2012

JIJI LA DAR NA MABADILIKO YAKE

Msikiti wa Manyema ukiwa umezungukwa na maghorofa kila kona.
Mtaa wa Mkunguni kuelekea soko la Kisutu
Maghorofa marefu yazidi kuongezeka.

3 comments:

Anonymous said...

Asante kwa picha hizi, zimekikumbusha mbali, sasa niki homesick kidogo. You made my day, yaani kama nakuona nyumbani kwetu pale livingstone kati ya Mkunguni na mtaa wa mafia. Nyuma ya msikiti wa Manyema.

Anonymous said...

mabadiliko ya majengo yapo, na kunapendeza sana, lakini kwa ujumla mji wa Dar ni mchafu saaaana, kuliko miji yoye I think.
pia mabadiliko ya majengo hayana maana kama maisha ya watu yanakua duni kila siku,hakuna maji,umeme, bara bara,ajira nk.

Anonymous said...

Dj luke umenikumbusha home lakin ndo sina home tena lakin poa na naungana sana na jamaa wa pili aliyetoa comment zake kwamba mabadiliko ya majengo hayana maana kama maisha ya watu yanakua duni kila siku hakuna maji, umeme, bara bara, ajira n.k majengo yatatusaidia nini wakati wanajengwa kihole la holela na masikini tunauza nyumba zetu wanakuja wageni wanakaa mitaa yetu hata historia ya mitaa yetu hawaijua sembuse nchi yetu..
wee acha tu
leo najisikia home home sick lakini poa