ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, July 7, 2012

KIDUM AFANYA MAKAMUZI YA NGUVU CLAYMONT, DELAWARE


Mwanamuziki mwenye asili ya Burundi anaeishi Kenya, Kidum Ijumaa July 6, 2012 alifanya makamuzi ya nguvu katika Club ya Simba Tropical Grill iliyopo Claymont, Delaware, Nchini Marekani na kufanya mashabiki wachanganyikie hasa wakina dada na nyimbo zake zenye hisia kali. Pichani ni Kidum akifanya vitu vyake.
Kidum akishambulia jukwaa kwenye show yake aliyofanya Ijumaa July 6, 2012 Claymont, Delaware Nchini Marekani katika Club ya Simba Tropical Grill na kufanya mashabiki wachanganyikiwe.
Juu na chini ni mashabiki wameshindwa kujizuia na wakaamua nao kushambulia Jukwaa.
 
Juu na chini Mashabiki wakichanganyikiwa na makamuzi ya Kidum aliyofanya katika Club ya Simba Tropical Grill iliyopo Claymont, Delaware Nchini Marekani.
Kidum akiendelea na makamuzi
Mashabiki wakipagawishwa
kwa picha zaidi Bofya Read More

No comments: