ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, July 5, 2012

Ndaga wilayani Rungwe vurugu tupu barabara yafungwa zaidi ya saa nne


JUU NA CHINI NI OFISI YA USHURU WA MAZAO NDAGA IMEBOMOLEWA NA KUCHOMWA MOTO
JUU NA CHINI NI BARABARA YA MBEYA RUNGWE IMEFUNGWA ZAIDI YA MASAA MANNE
WAKAZI WA NDAGA WILAYANI RUNGWE WAMEFUNJA GETI LA USHURU WA MAZAO NA NA KUCHOMA OFISI HIYO YA USHURU KWA MADAI HAWAONI FAIDA YA GETI HILO KWANI LIMEJAA RUSHWA TUPU NA UNYANYASAJI KWA WAKULIMA

No comments: