ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, July 5, 2012

SALAM TOKA BONGO

Dean Nyalusi ambae alikua Marekani katika masomo na juzi kuagwa na marafiki New York City amefika  Bongo salama, Home Sweet Home kwa  sasa ni kula Bata kwa kwenda mbele kama unavyomuona.

7 comments:

Anonymous said...

I thot baada ya Kumaliza shule anaenda kulijenga taifa kumbe ni kula bata! Kwa mtindo huu na Mie narudi

Anonymous said...

Tualikane bro.
Mdau from DK

Anonymous said...

Nilifikiria kilichomrudisha ni kitu cha maana,kumbe ni kuuza pombe..lol!!..hata mimi nitarudi....aangalie asije kurudi Marekani hii na madawa ya kulevya kama Mkama....Bongo penyewe patamyoosha,atatia akili!!!!

Anonymous said...

Huyu mtoto hana akili,anafikiria maisha ni kula bata,mpe miezi mitatu kama utamuona tena kwenye Blog hii!!!!

Anonymous said...

Mdau wa wa kwanza kabisa unafikiri utajenga taifa ukiwa ughaibuni.mimi nampongeza Nyalusi kwa kuchukua uhamuzi wa kurudi Nyumbani najua ni uhamuzi mzito ambao watanzania wengi walioko ughaibuni wanauogopa kuuchukua , kutokana kwamba wengi wao ndo hivo wanashidwa kurudi home kutokana na kukwepa aibu au sababu mbalimbali ikiwemo mfano kutomaliza shule n.k,ambazo usababisha mwisho wa siku kuishia kwenye kazi za mabox na kusahau kilichokupeleka Ugahibuni,pili Mr. Nyalusi ongera kwa kumaliza shule,Najua kama umemaliza shule yako ni rahisi mtu kuchukua uhamuzi wa kurudi nyumbani kulinganisha na mtu amabaye alikuja kusoma na akashidwa kumaliza shule.
Mr.Nyalusi mwisho wa mwezi huu tupo pamoja tayari nina ticket yangu ya ONE WAY.
Dr.Mashauri.

Anonymous said...

we mdau wa tatu saa 12:18, angalia box lisije likakuua,tafuta mtaji urudi nyumbani maisha yenyewe ya ughaibuni tunayafahamu yanakuwa vipi mwisho wa siku.ndo nyie ambao unaona ni bora kuwa homeless marekani lakini si kurudi Tanzania.
Nakutakia safari njema.

Anonymous said...

i meant kulijenga taifa la Tanzania siyo ughaibuni. yaani hapo aliporudi tulitegemea angetuonyesha hako ka-mradi alikoanzisha siyo biashara ya kula bata

...and correction on ur few words:
ni uamuzi NOT uhamuzi
ni hongera NOT ongera