ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, July 7, 2012

SABA SABA MINNESOTA PICHA NA MATUKIO NA VIVAZI VILIVYO TAMBA

 Hapa na pale na ukodak moment
 Kisha kulia akiwa na marafiki zake mbele ya ukodak wa vijimambo live .
 Wakijiachia mbele ya kamera na uku wakifuatilia show ya mavazi hiliyo kuwa ina ongozwa na Asya Khamsin na Hilda Mauya.
 Vivazi vilivyo tamba mbele ya ukodak kama warembo wanavyo onekana
 Wadau wa wakipata ukodak wa vijimambo
 Smile mbele ya ukodak wa vijimambo live ndani ya Twin Cities
Dj Denis wa Funk House akiwa na wadau, kwa picha zaidi (read more) picha na Ny Ebra,

2 comments:

Anonymous said...

Mzee wa Vijamambo aka NY Ibra naona mzee unakata mbuga kutuletea moto moto ambazo hazipoa. Poa sana endeleza libeneke kiongozi.

Ebra said...

Bullet bullets,,,,,,pa1 saaana tu!