ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, July 8, 2012

WEMA VS JACK AKUNA MBABE


Bondia Wema Sepetu akimkimbia mpanzani wake Jacklen Wolper wakati wa mpsambano wao


 Kocha wa Wema Sepetu ,Rashidi Matumla akimvua Joho wema kabla ya kupigana 

Mabondia ambani ni wacheza filamu maarufu nchini Wema Sepetu kushoto na Jacklen Wolper wakioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi wajkati wo Tamasha la vMatumaini lililofanyika jumamosi katika uwanja wa Taifa 
Refa John Chagu akiwainua mikiono juu mabondia Jacklen Wolper kushoto na Wema Sepetu kuashiria mpambano wao ni droo
Kwa picha zaidi Bofya Read more
WEMA NA WOLPER KATIKA ALAMA ZA freemason

Mdau wa mchezo wa Masumbwi Nchini Ibrahimu Kamwe akimwelekeza bondia Wema Sepetu kitu

Baada ya mpambano wawili hawo hawo wanaondoka eneo la tukio

Bondia Alphonce Mchumia Tumbo akipambana na Ramadhani Kido wakati wa mpambano wao mchumia Tumbo alishinda kwa K,O ya raundi ya Pili . 

Mpambano ukiendelea kwa kutupiana makonde
Mchumia tumbo akioneshwa kuwa yeye ni mshindi wa mpambano huo

Bondia wa Zimbabwe akipewa mawaiza na wasaidizi wake wakati wa mpambano wake

No comments: