ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, July 7, 2012

SABASABA MINNESOTA YA PAMBA MOTO

 
Asya Khamsin na Hilda wapendezesha show ya mavazi iliyo fanya hapa Twin Cities picha za warembo.
Asya na baba mwenye nyumba wake wakipata ukodak wa vijimambo
Model akipita kwa madaha
Model akipita na vazi la Khanga
Model akiwa vazi la blue

No comments: