Advertisements

Monday, July 30, 2012

Siku ya kwanza Olimpiki London 2012



Jiji la London ndilo pekee lililowahi kuwa mwenyeji mara tatu (1908, 1948, 2012) wa michezo ya Olimpiki toka 1896. Je michuano hii inayoshirikisha mataifa  204 inaonekanaje na wananchi mbalimbali? 

Jumamosi tarehe 28 Julai 2012 Frank Eyembe kutoka Urban Pulse,  Freddy Macha wakisaidiana na vijana chipukizi Ona na Zarina walipata fursa ya kuwaliwahoji watu kutoka mataifa mbalimbali ili kujua maoni yao haswa kuhusu umuhimu ama kadhaa wanazozikabili kuhusiana na michezo ya Olimpiki tokea siku ya kwanza ya ufunguzi.
Asanteni,
imeletwa kwenu kutoka kwa Urban Pulse wakishirikiana na Freddy Macha

No comments: