Stephano na Achotto Pre Wedding yao ilyofanyika Jumamosi July 7, 2012 Glenarden, Maryland na kuhudhuliwa na ndugu jamaa na marafiki kutoka kila kona ya Dunia.
Stephano na Achotto wakiwa wamependeza wakiwa meza kuu.
Stephano na Achotto wakiwa meza kuu na wapambe wao.
Stephano na Achotto wakiwa wamesimaa baada ya kuingia ukumbini.
Stephano na Achotto wakiingia ukumbini
Wasimamizi wakiingia ukumbini
Wasimamizi wakiingia ukumbini
Wasimamizi wakiingia ukumbini
Juu na chini ni wazazi wa Achotto
Ndugu wa Stephano.
Kwa picha zaidi Bofya Read More

2 comments:
mashallah bi harusi bwana harusi na watu wote pendeza sana maisha mema achoto na mumewe
Mmetoka bomba isee, sio mchezo-kahabi Mwarami
Post a Comment