UCHAGUZI WA VIONGOZI WA
KUDUMU WA TAWI LA CHADEMA WASHINGTON DC (DMV)
Tunapenda
kuwatangazia wanachama wote wa Chadema Tawi la Washington DC (DMV) kuwa Tarehe 15 July 2012 siku ya Jumapili,
tutafanya uchaguzi wa Viongozi wa kudumu wa Tawi ambao watachukua nafasi za
waliokuwa Viongozi wa Muda.
Nafasi
zitakazogombewa ni
Mwenyekiti wa Tawi
Katibu wa Tawi
Katibu Mwenezi
Mweka hazina
Mjumbe wa Vijana
Mjumbe wa Wanawake
Tuma maombi
yako na nafasi unayotaka kugombea kwa kuandika majina matatu, Namba yako ya
simu na email kwenda kwenye email chademausa@gmail.com
Tarehe ya
mwisho ya kupokea maombi ni Ijumaa
13 July 2012
Ukumbi
utakapofanyika Mkutano tutawajulisha Ijumaa 13 July 2012
Asanteni
No comments:
Post a Comment