ANGALIA LIVE NEWS

Friday, August 3, 2012

FUTARI YA PAMOJA LEO IJUMAA


FUTARI YA PAMOJA
WASHINGTON DC
Kwaniaba ya Chama Cha Mapinduzi, Mwenyeki na Uongozi wa CCM Tawi la DMV tunawatakia waislam wote duniani Ramadhani njema.
Pia Tunawakaribisha watu wote katika futari ya pamoja
Kama ilivyo desturi tunaungana nao katika mwezi huu wa Ramadhani.
Watanzania wote mnakaribiswa katika futari hiyo  ya pamoja.

SIKU:   IJUMAA: AUGUST 3, 2012
WAKATI: 7.30 P.M.
ADDRESS: 10615 New Hampshire Avenue
                   Silver spring, MD 20903

RAMADHANI KAREEM
UONGOZI WA TAWI

1 comment:

Anonymous said...

Hivi huu uongozi wa CCM bado tuuu upo??? Baada ya kuumbuliwa kuwa si wa halali na wana CCM??? Na malumbano yote hayo ya viongozi hawa kukana kuwa viongozi wa CCM wakati wanagombea uongozi hapa DMV?? Nintawashangaa waislam watakaojitokeza mnajua hiyo futari imepikwa wapi??? na nani????