Kutoka kushoto ni Katibu wa CHADEMA mkoa wa Arusha, Mchungaji Aman Golugwa, Mwenyekiti tawi, la DMV, Nd. Cosmas Wambura na Liberatus Mwang'ombe aliyekua Katibu wa muda CHDEMA DMV wakipata picha ya pamoja. Kesho katibu wa CHADEMA Mkoa wa Arusha atalonga na Vijimambo kuzungumuzia hali ya kisiasa mkoani Arusha na pia kuelezea nia yake kama atawania kiti cha Ubunge Mkoani hapo Usikokese kumsikiliza
No comments:
Post a Comment