ANGALIA LIVE NEWS
Monday, August 6, 2012
Mahojiano na Bwn. Amani Golugwa na Bwn. Cosmas Wambura Part 2
Hii ni sehemu ya pili na ya mwisho ya mahojiano na Katibu wa CHADEMA mkoa wa Arusha Bwn. Amani Goligwa aliyeambatana na Mwenyekiti wa CHADEMA tawi la Washington DC (DMV) Bwn. Cosmas Wambura.
Katika sehemu hii, wamejadili mengi ikiwamo...
Ushirikiano wa CHADEMA na CCM. Ni katika lipi wanaweza kushirikiana?
Je! CCM ikiandaa jambo kwa manufaa ya taifa, nao wataungana nao ama wataamua kufanya lao?
Ni vipi wanatumia "People's power" katika masuala ya kuondoa umaskini na sio maandamano pekee?
Kwanini wanaamini kuwa CCM ni Chama cha Upinzani hapa Washington DC?
Je!! Kwa kasi hii, wanadhani CHADEMA itasambaa nchi nzima na kuhitaji uongozi wa CHADEMA-USA na matawi ya majimbo?
Wanahofia vipi uwepo wa MAMLUKI katika ukuaji wa CHADEMA?
Ujumbe / Ushauri wao kwa wanaCCM wanaojiandaa na "CHANA GAMBA, CHANA GWANDA, VAA UZALENDO" hapo August 25?
Na je! Wana ushauri wowote kwako wewe uwatazamaye?
KARIBU uungane nasi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
Asante sana mh.Amani Golugwa ,nimesikiliza ufafanuzi wako katika mahojihano haukuwa wa kubabaisha ,Majibu yote uliokuwa ukijibu ni yalikuwa ni ya kina na yalionaukomavu.tunakuakikishia DMV itaendelea kuwa ngome ya chadema,labda ccm waende wakafungue tawi alaska lakini sio DMV
mdau.
Post a Comment