Friday, August 31, 2012

MKUTANO WA DICOTA KUTANGAZWA LIVE


Mkutano wa DICOTA kwa mara ya kwanza katika Historia utarushwa LIVE na Bongo Radio yenye makao yake makuu hapa Chicago.

Mkutano utaanza saa 3 asubuhi (9 am CT, 10 am ET, 7 am PT) kama utapenda kusikiliza LIVE Bofya Hapa
Au unaweza kuangalia moja kwa moja kwenye Ustream kwa kubofya Hapa

No comments: