Thursday, August 30, 2012

Mpira wa miguu na nyama choma Labor Day weekend ATL



Timu ya mpira wa miguu Atlanta inayojulikana kama Tanzanite FC inawakaribisha watanzania wote wa Atlanta na vitongoji vyake kuhudhuria mechi ya mpira wa miguu kati ya Tanzanite FC na Houston FC kutoka katika mji wa Houston , Texas itakayofanyika Hammond Drive Park siku ya Jumamosi 09/01/12. Mechi ya mpira wa miguu itaanza saa kumi kamili jioni na baada ya hapo kutakuwa na nyama choma kwenye small pavilion hapo hapo Hammond park. Tafadhali ukipata tangazo hili mjulishe na mwenzako.
Mechi ya mpira wa miguu itaanza saa 4:00pm-6pm na baada ya hapo watu wote kujumuika kwenye Nyama choma hadi 9pm.

P.S Tafadhali zingatia muda.
 
Address 705 Hammond Dr, Sandy Springs, GA 30328
 Kwa maelezo zaidi wasiliana na:

Abdul Shariff 404-285-1782

Abdul Kimario----678-478-7025

Togo Kirumbi 678-313-185 

Ntimi 678-469-6618

Malik---770-378-8339


Mike---404-993-0983

Kassim---678-978-3340

No comments: