ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, August 26, 2012

PARTY YA JUMUIYA DMV YAFANA

Wanajumuiya wakianza kuingia ukumbini.
Mariam (kulia) akiwa na ndugu yake Salma
Wanajumuiya katika picha ya pamoja.
Wahudumua wa kanywaji wakipata picha ya pamoja, Didi(kushoto) na Evans
Ukishikwa, Shikamana

Wanafamilia moja waishio DMV wakipata picha ya pamoja
Mke wa Rais wa DMV (kusshoto) akipata picha ya pamoja na mmoja ya rafiki yake.
Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe na kamati ya Bodi,
WanaDMV katika picha ya pamoja.
WanaDMV wakiduarika
WanaDMV wakiwa kwemnye party ya Jumuiya Beltsville, Maryland.
Kwa picha zaidi bofya read more


1



No comments: