Deogratius Kilawe akiwezesha semina hapa Mbezi beach garden.
Wadau walio hudhuria seminar wakichangia mada
Semina iliyofanyika wiki Hii jumamosi tarehe 25 Agust imefana sana,ambapo iliudhuriwa na watu wengi kutoka kada mbalimbali rai wa Tanzania na baadhi watanzania lakini walio nje ya nchi,Mwendeshaji na msimamizi wa semina hiyo Mr Deogratius Kilawe amesema kuwa kafurahishwa sana na mwitikio wa Watanzania kuanza kuchangamkia Semina mbalimbali ambazo lengo lake kuwapatia maarifa watanzania ili waweze pambana vema na utandawazi.
Pia hii imempa motisha aweze fanya tena semina wiki lijalo Hapo Hapo Mbezi garden Hotel Inayokwenda kwa Jina "how to improve your memory"(Jinsi ya kuboresha utunzaji wa kumbukumbu kichwani) Hii ni kutokana kuwepo na hii dunia ya watu kuwa busy na kazi Hivyo kama usipokuwa makini Unaweza sahau ahadi mbalimbali na mipango Hivyo maarifa yanahitajika ambapo wiki lijalo wazungumzaji watakuwa Dr Rugola Mtandu(medical doctor/masters degree holder) na Mr Shadrack Ntuha (Visionary).
Gillsant kutoka Popote media(Chief marketing officer) akitoa mada kwa semina.
Deogratius Ntundu kutoka Art media ltd akiwa anawezesha semina
Washiriki
No comments:
Post a Comment