ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, August 2, 2012

WANAFUNZI 94 WA SHULE YA MT.EVEREST WAPATA KIPAIMARA CHA PAMOJA

Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda pamoja na wawakilishi wa wanafunzi
waliopata Kipaimara wakikata keki kama ishara ya kupongezana

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Mt.Everest,Sister Rose akitoa neno la shukrani
na hongera kwa waliopata Kipaimara,Katikati ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama
Tunu Pinda na mwishoni kulia ni baba askofu Eseubius Nzigirwa.

Wanafunzi wakiwa kwenye mstari tayari kwa kuingia kanisani kwenye ibada maalum ya kupata kipaimara jana tarehe 2 August huko Mbweni Masiati.

No comments: