ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, September 2, 2012

DIAMOND APAGAWISHA WANA DMV NA MIJI JIRANI


Diamond aka Platinum akiwapagawisha watanzania wapenzi wa music wake, Diamond aliimba nyimbo zake zote za zamani na mpya ambazo hata hazijaanza kusikilizwa  katika radio stations za Tanzania hapa akiimba kwa hisia moja ya nyimbo zake ukumbini hapo.
Hapa alivyo kuwa bado na vazi lake nazifu kabla ya mzuka kupanda na kutoa nguo hizo za juu.
Diamond kwa kushirikiana madancer wake walifanya show ya kuvutia sana na watu wote walifurahi na wangekuwa na uwezo wangetaka show hiyo kuendelea hadi asubuhi lakini wapi muda ukivyofika watu walijivuta kwa unyoge kwani waliona kama walikatizwa uhondo wakuendelea kupata burudani kutoka kwa Diamond na madancer wake.
Diamond akiimba kwa hisia na nyuma ni madancer wake
Walionyesha miondoko ya kiusafi usafi kama Diomond mwenyewe anavyojiita yeye ni rais wa wasafi kwa kweli walikuwa kivutio ukumbini hapo.
Diamond we acha tu mliokosa show sina la kuwaambia.
Watu wakifatilia kwa makini kabisa show ya Diamond ukumbuni hapo kama unavyoona


Kwa apicha zaida za show ya Diamond bofya (read more)



9 comments:

Anonymous said...

malips yananiuaaaaaaaaaaa mbona wema hajaja???

Anonymous said...

miss T u nailed it on the stage....that was awesome LOL!

Anonymous said...

mleteni NY DIAMOND PLEASE JAMANI NI ME MISS SHOW YAKO ILE MBAYA KILA SIKU NAMUOMBA MUNGU UJEE HUKU MAREKANI LEO UMEKUJA NIMESHINDWA KUJA PLEASE NJOO NY PLEASE DIAMOND

Anonymous said...

dj luke shukran mkuu kwa kazi yako poa ya kutuwekea picha za show ya diamond, one thing mkuu basi ungetuwekea japo ka clip cha performance anavyo performed kidogo tu muonee kipenzi chetu na mzee wa mdv masifa sijamuona katika show hii yupo wapi kibele mbele,mwenzake ana kisiwa tu na kukubatiwa na mawani ya juua usiku kweusi ha ha ha

Anonymous said...

Zay my skol mate umetoka rili class big up...

Anonymous said...

The girl with porka dots looks great I love her style..the shoes kapendeza ,the mixture of the colors

Anonymous said...

si utani DIAMOND ulinikuna!

Anonymous said...

wewe mdau wa mwamzo ulivyosema ma lips yanakuuma ulimanisha nini? na hujui kwamba kachana na wema,sasa anaye joketi japo kuwa joketi anatamba na mwinginewe kwani hujui hilo. nijibu you lips zinakuma vipi na wema akija nitakutafuta wapi ulipo okay

Anonymous said...

Mkuu ,tumia kiswahili sanifu......mfano "nadhifu" badala ya "nazifu". Ahsante