ANGALIA LIVE NEWS

Friday, September 7, 2012

MIILI YA ASKARI WA JWTZ WALIOKUFA NCHINI SUDANI YAAGWA LEO

Mkuu wa Majeshi nchini Devis Mwamunyange akitoa heshima za mwisho kwa miili ya marehemu.
Askari wa Jwtz wakiwa wamebeba moja ya jeneza la mwili waaskari wa 3 wa jeshi hilo waliofariki kwa ajali ya maji wakivuka mto Lamada, Sudani walikokwenda kulinda amani chini ya jeshi la umoja wa Mataifa muda mfupi kabla ya kuiaga mili hiyo Lugalo jijini Dar es Salaam

No comments: