Wadau wenzangu ninatafuta maana ya maneno ambayo yananitatiza na yalisababisha ubishi mkubwa miongoni mwetu ndio maana nahitaji msaada kwa wadau wa Vijimambo na maneno yenyewe ni nini tofauti ya Elfu kumi na moja na kumi na moja elfu wadau naomba msaada wenu minasue kwenye tope tumaliza ubishi huu asante Mdau DC
No comments:
Post a Comment