Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipitia waraka wenye
makubaliano kabla ya yeye na Wakuu wenzake wa Nchi na Serikali za
Ukanda wa Maziwa Makuu kuuweka sahihi baada ya mkutano wao uliofanyika
Septemba 8, 2012 katika Hoteli ya Speke Resort Munyonyo mjini Kampala,
Uganda.(pich na Ikulu)
Mhe.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi makubaliano yaliyofikiwa na
Wakuu wenzake wa Nchi na Serikali za Ukanda wa Maziwa Makuu baada ya
mkutano wao uliofanyika Septemba 8, 2012 katika Hoteli ya Speke Resort
Munyonyo mjini Kampala, Uganda
No comments:
Post a Comment