Sayuni na Jackson walipoamua kufanya kweli Jumamosi Sept 8, 2012 Columbus, Ohio
Sayuni na Jackson wakiwa na wapambe wao kwenye Hall walilofanya sherehe ya Harusi yao mjini Columbus, Ohiio.
Malavidavi yakupakuliana chakula kama umuonavyo Sayuni akimpakulia chakula Jackson wakati wa sherehe yao ya Harusi iliyofanyika Jumamosi Sept 8, 2012.
Sayuni na Jackson na wapambe wao wakijiandaa kukata keki.
Sayuni na Jackson wakikata keki.
Sayuni akimlisha keki Jackson
Jackson akimlisha keki Sayuni
Jackson akimlisha keki mpambe wa Bi. harusi.
Jackson akimlisha keki mjomba wa Bi . harusi, Alpha Mshihiri
Sayuni akimlisha keki mama mkwe
Sayuni na Jackson wakifungua muziki
Kila mtu uwanjani kulisakata rhumba.
Kwa picha zaidi bofya read more
2 comments:
kwa kweli KAKA JACK HONGERA SANA hii kitu imependeza sana nawaombea kwa MUNGU pia maisha yenu ya NDOA yaendelee kupendeza na nyuso za furaha namna hii na MUNGU awabariki sana shemeji SAYUNI pia MUNGU akubariki sana na wote mlioshiriki MUNGU awabariki na mimi nikiwemo wa kwanza ku comment nibarikiwe sana na MUNGU tchao
kicheko kidogo; ahahahaha nice stuff.
J,MTUI
Raha ilioje jamani
Post a Comment