Juu na chini ni Winnifrida Maganga Bi harusi mtarajiwa akiwa na Bwn harusi mtarajiwa, Deus Kessy aliyekuja toka Tanzania kwenye Send Off party ya Mkewe mtarajiwa iliyofanyika Lanham, Maryland Jumamosi Sept 29, 2012. Harusi itafanyikia Arusha Tanzania
Winnifrida Maganga (kushoto) akiwa na mpambe wake Jacqueline Maganga kwenye send off party yake ilizofanyika Lanham, Maryland.
Juu na chini ni Bi Harusi mtarajiwa na mpambe wake pamoja na ndugu, jamaa na marafiki walioambatana nae wakiwasili na Limo
Bi harusi akiletwa ukumbini huku akiwa amefichwa kwa mila za kinyamwezi ni lazima bwn. harusi mtarajiwa amtambue ama sivyo iabidi apigwe faini.
Bi Harusi mtarajiwa akiwa amefichwa
Shangazi wa Bi harusi mtarajiwa Aunty Baby Mgaza akitoa maelezo kwa wakwe kwamba wakishindwa kumfichua watapigwa faini ya $200
Bwn. Harusi mtarajiwa afanikiwa kumfichua bila kukosea
Wazazi wa Bi harusi mtarajiwa Brigedia Jenerali Emmanuel Maganga na Mkewe Love Maganga
Kutoka kushoto ni Bwn. Shariff Hassan Maajar, mume wa Mhe. Balozi Mwanaidi Maajar, Love Maganga na Brigedia Jenerali maganga
Kushoto ni Bwn. na Bibi Missana, Bwn. Shariff Hassan Maajar, Love Maganga, Brigedia Jenerali Maganga na Aunty Baby Mgaza.
Kwa picha zaidi bofya read more
Wakwe wakiingia ukumbini
meza ya wakwe
WAKATI WA CHAKULA
WAKATI WA KEKI
WAKATI WA RHUMBA
1 comment:
Good job Vijimambo proud to be one of vijimambo team ........Winne and Husband with you guys happy life, health and enjoying new life together...
Post a Comment