ANGALIA LIVE NEWS

Monday, October 1, 2012

Aliyekuwa Diawani Wa Chadema Arusha Ahamia Cuf.


Aliyekuwa diwani wa Chadema wa kata ya Elerai Mkoani Arusha John Bayo akitambulishwa na Profesa Lipumba mara baada ya kujiunga na Chama Cha Wananchi CUF kwenye mkutano uliofanyika Mkoani Arusha jana, ambapo Chama hicho kinaendelea na kampeni yake ya Dira ya mabadiliko.

No comments: