ANGALIA LIVE NEWS
Monday, October 1, 2012
AFISA UBALOZI ABBAS MISSANA ALONGA NA VIJIMAMBO
Afisa Ubalozi maswala ya uhamiaji, Abbas Missana alonga na Vijimambo azungumuzia maswala ya Uhamiaji haswa kwa Watanzania wanaishi Ughaibuni ni mambo gani unayotakiwa kufuata pindi unaposafiri nje ya Tanzania. MSIKILIZE
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment