Advertisements

Friday, October 19, 2012

BAADA YA SIKU NNE OMAN RAIS ATUA TANZANIA NA KUKUTA HALI SI SWARI NINI TAMKO LAKE?

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal leo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara alipowasili kutoka katika ziara rasmi ya siku nne nchini Oman.

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wananchi waliojitokeza kumpokea leo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara alipowasili kutoka katika ziara rasmi ya siku nne nchini Oman.

No comments: