Ukumbi wa CEC ulivopambwa kwa ajili ya sherehe ya siku ya kuzaliwa Princess Fatma iliyofanyika juzi Jumamosi October 13th 2012, Rockville, Maryland.
Princess mwenyewe akitengeneza kofia ya birthday tayari kwa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa na rafiki zake iliyofanyikajuzi juzi Jumamosi October 13th 2012, Rockville, Maryland.
Princess Fatma akiwa amepozi na Chuck kwenye sherehe ya kuzaliwa ya Fatma iliyofanyika juzi Jumamosi October 13th 2012, Rockville, Maryland.
Princess Fatma akiwa amepozi na wazazi wake kwenye sherehe yake ya kuzaliwa juzi Jumamosi October 13th 2012, Rockville, Maryland.
Kwa picha zaidi bofya hapa
Kwa picha zaidi bofya hapa



No comments:
Post a Comment