ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, October 20, 2012

FIDEL CASTRO AMERIPOTIWA KUA MGOJWA MAHUTUTI AKISUMBULIWA NA STROKE. MA-DR WADAI ANA SIKU CHACHE ZA KUISHI



Kiongozi wa Cuba mwenye umri wa miaka 86 Fidel Castro, ameripotiwa kuwa mgonjwa sana, hawezi kula, kuongea, kuinuka wala kutambua ndugu, jamaa na marafiki wa karibu yoyote. Fidel Castro anasumbuliwa na embolic stroke na hali yake inasemekana sio nzuri kabisa. 
Hapa ndio ilikua mara ya mwisho kwa wananchi kumuona Fidel Castro live, alipokuja Pope kumpa hi
Dr Jose Marquina ambaye ni Dr wa Castro amedai sio vyema kutabiri hali ya mgonjwa lakini kwa anavyomuona Fidel hana muda mrefu kabisa, amekadiria na kusema ''few weeks''. Marquina amasema sio rahisi wananchi kumuona Castro tena in Public kama hapo awali. Na kwa mujibu wa records kwa mara ya mwisho Fidel Castro kuonekana nje (in Public) ilikua March mwaka huu wakati Pope Benedict XVI alipotembelea Cuba..

1 comment:

Anonymous said...

huyu ndo kidume cha shoka na simba wa kweli mungu amsaidiye awe na afya njema lakin mungu akimtaka zaidi ya sisi hapa duniani basi i think he is going to be in a better place in heaven.

cha pili nachotaka kusema ni kwamba madoctor siyo mungu japokuwa ni wataalam lakin unaweza kushanga anaweza kuishi zaidi ya hiyo miaka michache wanayoyadhania wao

mungu ambariki sana simba wa dunia huuyu