Jerry Silaa Avunja Rekodi
Mstahiki
Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa (pichani) ameibuka Kidedea na
kuvunja rekodi ya Mwaka baada ya kutetea nafasi yake ya Ujumbe UVCCM
kwa kupata kura 501 ambazo ni nyingi kuliko hata Mwenyekiti katika
chaguzi zilizofanyika mjini Dodoma. Na Mdau Dodoma
No comments:
Post a Comment