ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 25, 2012

Ndugai Na Ripoti Ya Rushwa Ya Ngwilizi

Rodrick Minja, Dodoma

RIPOTI ya bunge kuhusu tuhuma za wabunge wa Kamati ya Nishati na Madini waliotuhumiwa kujihusisha na vitendo vya rushwa,inatarajia kuwasilishwa bunge wiki lijalo. 

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Job Ndugai aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa Spika wa Bunge Anne Makinda atatoa utaratibu wa namna ya kuwasilisha ripoti hiyo ndani ya ukumbi wa bunge.

No comments: