Dr.Cyril Chami akiwahutubia wananchi wa Kilema ya Kusini wakati wa uzinduzi wa kampeni za udiwani huko Moshi Vijijini. |
Aggrey Mareale mjumbe wa NEC Moshi mjini akiwasalimu wa wana Kilema ya Kusini wakati wa kumtambulisha mgombea wa udiwani kata ya Kilema Kusini. |
Nape Nnauye,Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi (kushoto) akimtambulisha mgombea wa kiti cha udiwani Kilema ya Kusini, Ndugu Temu Peter Ernest . (21/10/2012) |



No comments:
Post a Comment