Paul Rwechungura akiwa nyumbani kwake Downingtown, Pennsylvania anakoishi kwa sasa Kesho Jumatatu atalonga na Vijimambo akielezea maisha yake ya ugolikipa na mchezo wa mpira wa miguu ulivyokua enzi hizo na unavyoendelea kwa sasa Tanzania.
Hapa ni mechi ya Simba na Pamba enzi hizo Paul Rwechungura akidaka mpira, kushoto ni Malota Soma, kulia ni David Mwakalebela.
Paul Rwechungura akiokoa moja ya hatari enzi hizo
Timu ya Pamba ya Mwanza, TP Lindanda
No comments:
Post a Comment