ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, October 16, 2012

LEO JUMATANO NI KUAGA MWILI WA BABA YAKE SARAH, ALHAMISI NI MISA NA MAZIKO

Mzee Tekle Tamanu Enzi ya uhai wake
Tujumuike na Sarah katika kuaga mwili wa mpendwa Baba yake Mzee Tekle Tamanu Leo Jumatano Oct 17, 2012 kuanzia saa 9:30 alasiri (3:30pm)  kwenye W.H. Bacon Funeral Home, 
3447 14th St, NW, 
Washington, DC 20010.

Na Alhamisi Oct 18, 2012 saa 3:00 asubuhi (9:00am) kutakua na misa ya kumuombea marehemu 
150 S Street NW, 
Washington, DC 
itakayofuatiwa na mazishi katika makaburi ya Gate Of Heaven, 13801 Georgia Ave, Silver Spring, MD 20906

Kwa malezo zaidi na maelekezo piga simu
Mama Sarah 240 481 1207
Irene Milmbe 571 501 0122
Kichai 202 361 0571
Joseph Mzanila 240 388 7845

BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA NA JINA LAKE LIHIMIDIWE


Ukipata taarifa hii tafadhali mjulishe mwenzio

No comments: