ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, October 16, 2012

Shukrani

Familia ya clarisse maya niyokuru, jumuiya ya watanzania ATC metro na kamati ya mazishi ya mpendwa wao.  Wanatoa shukrani zao za dhati kwa msaada  wa hali na mali na kwa upendo wenu mliounyesha katika kipindi cha msiba hadi kukamilisha mazishi.

Jumla ya pesa kiasi cha dola $6120 zilipatika na $4312 ziligharamia mazishi   Na kiasi cha dola $1808 zitakabidhiwa kwa familia.

Shukrani za pekee ni kwa MCC Muslim community center New Hampshire Ave. kwa msaada wao.

Hatuna cha kuwalipa. Mola ndie awezaye. Asanteni sana

No comments: