ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, October 16, 2012

MAMA ASIA KHAMSIN NA FABAK FASHION ALIVYO NG'ARISHA EAST AFRICA CHAMBER OF COMMERCE CONFERENCE DALLAS, TX

Fabak Fashion show ya Asia Khamsi ndani ya East Africa Chamber of Commerce ilivyo washa moto, hapa ni Asia khamsin mwenyewe akiwa na vazi laki akifungua show kwa kupita mbele wa washirikia wa mkutano huo uko Dallas, TX.
 Asia akismile mbele ya camera ya Vijimambo akiwa ametinga vazi lake lililo mtoa vilivyo.

 Mmoja wa mamodel kutoka Dallas akipinda mbele ya watazamaji na vazi lilimkaa vilivyo , Kwapicha zaidi bofya read more.

Mrembo mwingine mbele ya ukodak
 Dada yuko makini kabisa akitembea na vazi lililo tengenezwa na Asia kama anavyo onekana
Model wakiume akiwa na shati lililo buniwa na na Asia akipozi mbele ya watazamaji kuashiria kukubari kuwa kitu alicho kivaa ni baridadi kabisa.
MH. Dr. Mary Nagu akipata picha ya pamoja na Asia Khamsin akiwa na wanamitindo wake waliomuwakirisha vyema kwa kuvaa kazi yake.



No comments: