miyayusho luke wewe uliyeweka hii kitu na hawa jamaa zako niliwandikia kuna siku kutafuta hizi kazi hawajanijibu wabongo watanzania kila siku miyayusho ingini mitini mkiwa seriously tuelezeni kwa hivi sasa miyayusho tuu watu tunasema lugha zaidi ya kumi na tunajua kutsiri tunakutumiyeni email etc hamtujibu sasa leo mnaweka hii kitu hapa mmnawazimu au mmefiba madaraka ya kufuta vitambi.
nasema tena miyayusho wewe luke na hawa jamaa zao toeni ujinga wengu na usiweke hii comment because ndo zako hizi za kusunda na kusweka comment kama hizi unahaki ndo blog yako au siyo
--------------------------------------------------------------------------
Kwanza mdau nakupa pole sana kama umeandika Email yako na jamaa hawajakujibu unapojiita "Anonymous" unanitia mashaka kidogo kama kweli umetuma hiyo email na unaponiita mimi miyeyusho sielewi unamaana gani lakini kama ndivyo hivyo unavyomaanisha basi ujue umenikosea sana lengo kubwa ya blog hii ni kupashana habari iwe inatoka kwangu, kwako au kwa yeyote yule ili mradi haichafui hali ya hewa na yenye lengo la kusaidiana na kupeana kile changu ambacho wewe hukijui, kile chako ambacho mimi sikijui au kile chake ambacho mimi na wewe hatukifahamu.
Hii blog ni ya jamii na si yangu kama unavyofikiria, jamii imenipa kazi ya kuitunza na kuiendesha kama kuna tatizo linalo kusumbua tafadahali niandikie email na usisahau kazi ya jamii si rahisi na haipo kuifurahisha nafsi yako, Asante.
3 comments:
Mdau, ni utaratibu wa kawaidi kuomba kazi na kusubiri kuitwa. Kama hujaitwa maana yake inawezekana wapo wenye sifa nzuri zaidi na 'resume' zao zimekwenda shule kuliko ya kwako ambao ndiyo wameitwa. Wewe jitahidi tu kuendelea kulipia simu yako kila mwezi, maana inawezekana pia ukapigiwa simu ya kuitwa. Halafu usisubiri kazi moja. Changamka kuomba kazi sehemu zingine pia kuliko kuwa mkali. Ukali hauwezi kupunguza ugumu wa maisha ya kutoajiliwa. Jitahidi kutengeneza marafiki hapa duniani katika kipindi cha uhai wako ili siku utakapoitwa mbele ya haki, watakaobaki duniani wakukumbuke kwa mazuri uliyoyafanya. Ukipata uwezo, jitahidi pia kupita darasani. Itakusaidia sana kuongeza siyo tu uwezo wa kufikiri, bali hata kupata kazi haraka unapoomba. Nakuomba pia kama unaweza mpigie simu Luka umuombe samahani ili yaishe. Nakutakia hamu ya chakula cha jioni.
we anonymous uliyetoa comment hapa usijifanya mjanja sana wa maneno sidhani hata kama shule umefika wewe,usinifundishi kabisa jinsi ya kuish na jinsi ya kutafuta risiki nilichosema ni kwamba watu hawako serious thats all,kwa elimu yangu wewe hata siku mmoja hufui dafuu jaribu uone so usijidai kimbele mbele hapa na kutoa ushauri wa pumba.
mimi muugwana kuliko ulivyokuwa unadhani wewe, nilidhamiria kabisa kumuomba radhi luke lakin siyo kutoka kwako kwambau unifundishe wewe ishiye zako unadhani tupo pumba hapa,eti nenda darasani unajua qualification yangu wewe, na hii kazi mimi ingekuwa ya pili tena spear time tu na siyo ya kujitegema, eti lipa simu wewe umenileta hapa mimi marekani, wewe nenda zako na ujinga wako ungekuwa mstaarabu usingeandika hata siku mmoja utumbo utumbo wako mpe ushari tahira lakini si mimi sawa.
natamani ningekuona ningekufumua vibao wewe na ningerudishwa bongo haina noma lakin ningekutia adabu unijua mimi nani
mkuu luke mungwana wangu samahi bwana jazba zilinipanda sijakukusudia ubaya wala kukutoa thamani yako ya kuelimisha jamiii naomba nisamehe mkuu okay lakini jama huyu aliye weka hii comment yake sito muacha hivi hivi, kwani mnadhani mtu akitafuta kazi ni kwamba hana kazi inginewe au mnadhani haja pita shule kama kutambiana kwa kusoma hapa ndo mtakiona cha moto, tujulishane tu wapi tukutane na tuoneshani ujuzi wetu wa elimu na vyeti vyetu vyote na jinsi maisha tunavyoa yamudu hapa marekani.
mnadhani wote bumbubu mzungu wa reli nahisi mdau huyu aliyetoa comment hata shule hajui ilivyo kaa kapita tu kiyaoyo mdomo mwingi akili zimehama kwa kupata snow ya MAREKANI.
ebwana mkuu luke samahani kama nimechafua hali ya hewa nisamehe sana muungwana wangu na kama nimekukera ya aina yeyote ile nisamehe ndugu yangu ila nataka tu watu tuwe serious thats all.
shukran and have a bless day na nakuthamini sana mkuu luke kwa kazi yako utendayo siyo siri
Post a Comment