
Ambulance zikiwa nje ya NYU Langone Medical Center New York wakiajiandaa kuwahamisha wagonjwa

Hapa ni Westport, Connecticut mabuldoza yakitengezea ukuta wa mchanga kwa tahadhari ya Hurricane Sandy

Meya Michael Bloomberg wa mji wa New York akiwatahadhalisha wakaazi wa jiji hilo kuhusu Hurricane Sandy

Hakuna maji, maelfu ya vyakula yamebeki matupu, watu wamenunua kwa tahadhari ya Hurricane Sandy

Jamaa akiwa amejaza maji kwenye kitolori alipokua anatoka dukani

Mafundi wakiziba sehemu za kupitisha hewa kwenye treni chini ya ardhi kuepuka mafuriko
No comments:
Post a Comment