ANGALIA LIVE NEWS

Monday, October 29, 2012

WADAU WA CALIFORNIA WALIVYO SHEREKEA EID EL-HAJJ

 Hadha min fadhli Rabi Ahada ....Naam mambo ya mahanjumati ya Eid El-Haj haya Ustadh Haji Jingo akitia barakha zake siku hiyo ya Eid el-Hajj Mnuso huo uloifanyaja katika Restaurant ya Glendale. CA 
 Hapa ni Ankal Abdul na Aunty Mbahuwa mambo ya upendo haya hata huwezi sikia uzito 
kw araha zao...mweh
 Ustadh Haji katika kati Ankal Abdul na Aunty wangu wa ukweli. Aunty Mbahuwa akipata smile kwa %120 mbele ya ukodak.
Hapa ni Ustadh Haji na mdhamini wa pendo lake kulia, na kushoto ni Da Rahima Mzee wakipata ukodakWakipata ukodak wa pamoja baada ya kupata chakula kama kumbu kumbu siku hiyo ya Eid-El -Haj kwa raha zao na kwa roho safi.
 Hapa ustadh Jingo akiwa na ustadh  mwenzie  siku hiyo ya Eid-El-Haj bwana Swahib Ahmed- Deddy.
Akina mama wakitumbuika na rosha roho baada ya chakula cha Eid El-Haj katika Restaurant hiyo ya Glendale,CA

2 comments:

Anonymous said...

HONGERENI MAMA ZANGU WADOGO, MBAHUA NA ANTI SALMA (DULLAHYOO).

Anonymous said...

Aah salaahe! Wee Shetwani:-) (Bi. Rahma) tafadhali kwa hisani yako upatapo message hii basi tutafutane faragha kupitia email hii: etradefunding@yahoo.com Haya ni mimi lile Shetwani lilokubuhu ambalo hujalitia machoni miaka bado li hai la tweta:-)