Hadha min fadhli Rabi Ahada ....Naam mambo ya mahanjumati ya Eid El-Haj haya Ustadh Haji Jingo akitia barakha zake siku hiyo ya Eid el-Hajj Mnuso huo uloifanyaja katika Restaurant ya Glendale. CA
Hapa ni Ankal Abdul na Aunty Mbahuwa mambo ya upendo haya hata huwezi sikia uzito
kw araha zao...mweh
Ustadh Haji katika kati Ankal Abdul na Aunty wangu wa ukweli. Aunty Mbahuwa akipata smile kwa %120 mbele ya ukodak.
Hapa ustadh Jingo akiwa na ustadh mwenzie siku hiyo ya Eid-El-Haj bwana Swahib Ahmed- Deddy.
Akina mama wakitumbuika na rosha roho baada ya chakula cha Eid El-Haj katika Restaurant hiyo ya Glendale,CA
2 comments:
HONGERENI MAMA ZANGU WADOGO, MBAHUA NA ANTI SALMA (DULLAHYOO).
Aah salaahe! Wee Shetwani:-) (Bi. Rahma) tafadhali kwa hisani yako upatapo message hii basi tutafutane faragha kupitia email hii: etradefunding@yahoo.com Haya ni mimi lile Shetwani lilokubuhu ambalo hujalitia machoni miaka bado li hai la tweta:-)
Post a Comment