ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, October 16, 2012

Mdahalo leo

Mdahalo wa urais nambari pili kati ya Rais Obama na Mitt Romney utapatikana  moja kwa moja  katika mtandao wa www.voaswahili.com kuanzia saa tatu za usiku saa za Washington Dc.

No comments: