ANGALIA LIVE NEWS

Monday, October 29, 2012

Mshindi Wa Dunia Mlemavu Aongea

Mshindi wa dunia namba moja ambaye ni mlemavu kwenye mchezo wa tennis
Stephen Houdet raia wa Ufaransa akiongea na wanahabari katika viwanja vya Jimkana
jana.Bwana Stephen yupo nchini kuhamasisha watu wasio walemavu na walemavu
kucheza mchezo huo katikati ni Mkurugenzi msaidizi wa Maendeleo ya Michezo Juliana
Yassoda na kushoto ni Meneja wake Bwana Fabrizo Caldarone. (Picha na Benjamin
Sawe wa WHVUM).

No comments: