Mehbu Salim akishangilia katika pub la City Sports Lounge, wakati akishuhudia mechi ya Ligi Kuu ya England kati ya Manchester United na Chelsea. Man U wameshinda 3-2, lakini kwa kubebwa hadi aibu. Tazama picha zaidi na swaga tofauti za mashabiki waliokuwa wakishuhudia mechi hiyo City Sports Lounge, pub linalovutia wajanja wengi wa town kwa sasa, hususan wapenzi wa soka
Kulia ni Juma Pinto na kushoto Mohamed Bawaziri wakifuatilia mechi
Mashabiki wakipeana vijembe
Mashabiki wakifuatilia kwa makini
Mashabiki wakizozana
Kulia ni Salim na kushoto Hussein Songambele wakifuatilia mechi
Mashabiki wakitambiana
Wahariri Watendaji, Bakari Machumu wa Mwananchi kulia na Frank Sanga wa Mwanaspoti wakifuatilia mechi kwa makini
Mashabiki wakileteana kidogo
Bawaziri akifuatilia mechi kinyonge
JP akifuatilia mechi
Picha kwa hisani ya Bin Zubery Blog













1 comment:
BARAKA SHELUKINDO AMEONA NIMEMPENDA SANA KANIVUTIA NIAMBIYENI JAMANI NIKO SINGLE
Post a Comment