ANGALIA LIVE NEWS

Monday, October 22, 2012

MWANADIASPORA PAUL RWECHUNGURA ALONGA NA VIJIMAMBO


Aliyekua golikipa mahili wa Pamba ya Mwanza, Paul Rwechungura alonga na Vijimambo azungumzia historia yake ya mpira na je TP Lindanda na mpira wake wa kitabuni ulikua unatokana na uchawi? ni kwa nini Timu ya Pamba ilikua ngumu kwa Yanga na si Simba? MSIKILIZE

No comments: