Dr.Cyril Chami akisalimia wakazi wa Kilema Kusini,katika utambulisho wa mgombea wa kiti cha Udiwani na kuanza rasmi kwa kampeni za udiwani. |
Aggrey Mareale mjumbe wa NEC ,Moshi mjini akiwasalimu wana Kilema ya Kusini wakatiwa kampeni za udiwani tarehe 21/10/2012 |
Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi akimtambulisha mgombea wa Udiwani kwa tiketi ya CCM,Temu Peter Ernest,Kilema ya Kusini. |
Wanachama na Wapenzi wa CCM wakishangilia kutambulishwa kwa mgombea wao kata ya Kilema Kusini. |
No comments:
Post a Comment