SHINDANO la kumtafuta Mfalme wa Mic (The Mic King), jana liliendelea katika Ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem na kuwapata wawakilishi 12 wa wilaya ya Ilala huku burudani ya kufa mtu ikiporomoshwa na kundi la Wanaume TMK na Bedi ya Extra Bongo.
Mmoja wa washiriki wa The Mic King akionyesha uwezo wake jukwaani.
Mmoja wa washiriki wa The Mic King akionyesha uwezo wake jukwaani.
Majaji wa The Mic King, Abdallah Mrisho ‘Abby Cool’ (kushoto), John Dilinga ‘DJ JD’, na Sister P wakifuatilia shindano hilo.
7. Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo, Ali Choki (kulia) akiwa na wanenguaji wake jukwaani.
8. Msanii anayesumbua na songi la Mwanayumba ndani ya gemu la Bongo Fleva, Chegge Chigunda, akimsaka ‘Mwanayumba wake’ jukwaani.
9.
10. Mkali wa kundi wa TMK Wanaume, Amani Temba, akiwaimbisha mashabiki wake kwa kutumia kipaza sauti.
11. Zao jipya la Kundi la TMK Wanaume, mwanamuziki Getruda, akionyesha uwezo wake jukwaani.
12. Memba mzee wa kundi hilo, Bibi Cheka (kushoto) akimwaga mistari mistari jukwaani. Kulia ni Temba.
(PICHA/HABARI: ERICK EVARIST NA MUSA MATEJA/GPL)
No comments:
Post a Comment