Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi
Unguja Mhe,Abdalla Mwinyi Khamis,(kulia) akikabidhi fedha kwa ajili ya
Ubani kwa Niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,nyumbani kwa wafiwa wa Marehemu Koplo
Said Abdulrahman Juma Hassan wa Jeshi la Polisi, Nyerere Mjini Zanzibar
leo ,kwa niaba ya wanafamilia wa marehemu Baba Mdogo Juma Omar
Salum,(wa pilikushoto),akipokea ubani, Mkuu wa Jeshi la Polisi
Tanzania IGP Said Ali Mwema,(wa pili kulia) na Baba Mzani wa
Marehemu,Abdulrahman Juma Hassan,(kushoto).Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar
ANGALIA LIVE NEWS
Tuesday, October 30, 2012
Serikali,Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja watoa ubani Kwa Familia ya Marehemu Koplo Said Abdulrahman Juma Hassan
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi
Unguja Mhe,Abdalla Mwinyi Khamis,(katikati) akitoa nasaha zake kwa
wanafamilia wa Marehemu Koplo Said Abdulrahman Juma Hassan wa Jeshi la
POLISI ,alipofika kukabidhi fedha kwa ajili ya Ubani kwa Niaba ya Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein,nyumbani kwa wafiwa Nyerere Mjini Zanzibar leo ,wengine kushoto
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Said Ali Mwema, (kushoto) na
kutoka kulia Kamishna wa Polisi Zanzibar Mussa Ali Mussa na Afisa
Tawala Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohamed Mahamoud,),hafla hiyo
ilifanyika leo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment