Waziri Mkuu, Mizengo Pinda Awasili Mkoani Dodoma kwa ajili ya kikao cha Bunge kinachotarajiwa kuanza Oktoba 30, 2012.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dr. Rehema
Nchimbi baaada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma kwa ajili ya
kikao cha Bunge kinachotarajiwa kuanza Oktoba 30, 2012. Picha na Ofisi
ya Wazieri Mkuu
No comments:
Post a Comment